Mama Salma Kikwete Oyeeee! wanawake wa kijiji cha Nguruka Kigoma Kusini wakimshangilia Mama Kikwete
Jamani eee Kigoma neema ! hii ndio faida ya kilimo !wakulima wa kijiji cha Mtalima Kasulu.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimnadi Mgombea Ubunge Samuel Sitta.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimnadi mgombea (CCM)jimbo la Kigoma Mjini Peter Serukamba.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimia katika kijiji cha Mvugwe kiliopo halmashauri ya Kasulu (Kigoma) wakati akielekea Kigoma.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza katika mkutano wa ndani wa kampeni jimbo la Kasulu vijijini
Mama Salma Kikwete akimnadi mgombea ubunge jimbo la Urambo Magharibi Prof. Juma Kapuya
Mama Salma Kikwete akiwahutubia akina mama wa UWT Urambo Mashariki (Tabora)
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea shada la maua alipowasili Jimbo la Urambo Mkoani Tabora